JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Dk Biteko aagiza zahanati iliyounganishwa umeme wa REA ianze kazi mara moja

Na Veronica Simba – REA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko ameuagiza Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi kuhakikisha Zahanati ya Kijiji cha Mkangwe, iliyounganishiwa umeme wa REA inaanza kazi mara moja. Ametoa maagizo…

Kambi maalum ya upimaji na matibabu ya magonjwa ya moyo Dar es Salaam

Katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani tarehe 8 Machi 2024 wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group iliyopo TAZARA wilaya ya Temeke watatoa  huduma za tiba mkoba zijulikanazo  kwa  jina la Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan Outreach…

Vijiji vyote 360 Iringa vyapata umeme

Usambazaji umeme vijijini mkoani Iringa umefanyika kwa asilimia 100 ambapo vijiji vyote 360 mkoani humo vimesambaziwa umeme kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Usambazaji umeme katika vitongoji vya Mkoa huo umetekelezwa kwa asilimia 64.11 ambapo vitongoji…

Makamba : Dunia inahitaji mfumo mpya ya maamuzi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba (Mb), ameieleza Jumuiya ya Kimataifa kuhusu umuhimu wa kuwa na mifumo mipya ya kimataifa itakayo zingatia haki na usawa katika kufanya maamuzi hasa kwa Mataifa ya Afrika….

Mafanikio ya Tanzania kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi yaivutia Nigeria

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mafanikio katika sekta ya afya katika kukabiliana na kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi, mama na mtoto kumepelekea baadhi ya mataifa mengine ya Afrika kuja kujifunza nchini. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt….

Chama Cha Mapinduzi kimeshika hatamu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, London Katika kusherekea miaka 47 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni bora kuwakumbusha Watanzania kuwa CCM imeshika hatamu za nchi. Kwa kutumia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 kama ilivyofanyiwa…