JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Bandari ya Mbambabay kuunganishwa na reli ya Kusini

Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Mbambabay Naibu Waziri wa Uchukuzi Mheshimiwa David Kihenzile amesema serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni 70 kuanza uboresha bandari ya Mbambabay ziwa Nyasa mkoani Ruvuma. Amesema mkataba wa ujenzi wa bandari hiyo ni miezi 24 na…

Mataifa saba yafutiwa ada kuingia Kenya

Kenya imewasamehe walio na pasipoti kutoka nchi saba kulipa ada ya kuingia nchini humo iliyoanzishwa mwezi uliopita. Serikali ilitupilia mbali mahitaji ya viza kwa wamiliki wote wa pasipoti za kigeni. Hatua hiyo ilionekana kama jaribio la kuitangaza Kenya kama kivutio…

Mpango awataka vijana vyuo vya ufundi kutengeza ajira

Makamu wa Rais Dk Philip Mpango amewataka vijana wanaosoma katika vyuo vya ufundi stadi kutumia ujuzi walioupata kutengeneza fursa ya ajira. Dk Mpango ameyasema hayo wakati akiweka Jiwe la Msingi katika chuo cha ufundi stadi kilichopo kata ya Kasera Wilaya…

Bashungwa ataka madaraja, makaravati yenye ubora

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaagiza mameneja wa Wakala wa Barabara Tanzania  (TANROADS) kufanya kazi za usanifu wa makaravati na madaraja kwa kuzingatia viwango vya ubora ili yatakapojengwa yaweze kustahimili na kudumu kwa muda mrefu. Amesema kwa mameneja watakaofanya uzembe na…

DCEA, TAKUKURU zashirikiana mapambano dhidi ya rushwa na dawa za kulevya

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,DODOMA TAASISI ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) kwa kushirikiana na Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya nchini(DCEA) wametoa mafunzo kwa maafisa wanaohusika na uelimishaji umma na mawasiliano ili kuongeza mapambano dhidi ya…

Dk Biteko aagiza zahanati iliyounganishwa umeme wa REA ianze kazi mara moja

Na Veronica Simba – REA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko ameuagiza Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi kuhakikisha Zahanati ya Kijiji cha Mkangwe, iliyounganishiwa umeme wa REA inaanza kazi mara moja. Ametoa maagizo…