JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Kamati ya Mawaziri wanne wa kisekta yakoshwa na utatuzi migogoro ya ardhi Ruvuma

Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Songea Kamati ya Mawaziri Wanane wa Kisekta inayoongozwa na Mwenyekiti wake Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa Jerry Silaa imeupongeza uongozi wa Mkoa wa Ruvuma kwa kufanikiwa kutatua migogoro 15 ya ardhi kwenye vijiji…

Serikali inakamilisha taratibu za malipo kwa wakazi wa Nyatwali – Majaliwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali iko katika hatua za mwisho za kukamilisha utaratibu wa malipo ya wananchi waliohamishwa katika eneo la Nyantwali ili kupisha hifadhi na mapito ya wanyama. “Naomba muwe watulivu, tathmini ilikwishafanyika na sasa Serikali inakamilisha taratibu za…

Waziri Mkuu azuru kaburi la Hayati Baba wa Taifa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka shada la maua kwenye kaburi la hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mwitongo, Butiama mkoani Mara Februari 27, 2024 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka akiwasha mshumaa kwenye kaburi la hayati baba wa Taifa…

Wananchi kupewa elimu MMMAM

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Doroth Gwajima amewashauri wahariri wa vyombo vya habari nchini kushirikiana na serikali kutoa elimu kwa wananchi kuhusu dhana ya Mpango wa Malezi, Makuzi, Maendeleo ya…

JKCI kuweka kambi matibabu ya moyo Dar

TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) inatarajia kuweka kambi maalum ya upimaji na matibabu ya magonjwa ya moyo mkoani Dar es salaam na mikoa ya jirani katika kuadhimisha siku ya wanawake Duniani Machi 8, 2024. Taarifa iliyotolewa na Mkuu…

Majiko ya gesi 200 yakabidhiwa kwa taasisi na vikundi Kavuu Mlele

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mlele Mbunge wa Jimbo la Kavuu katika halmashauri ya Mpimbwe mkoa wa Katavi na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe, Geophrey Pinda amekabidhi majiko mia mbili ya Gesi ya kupikia kwa taasisi…