JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Kitita kipya NHIF kuanza kutumika Machi 1, wananchi kupata unafuu

na Mwandishi Wetu JanhuriMedia, Dar es Salaam MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umesema maboresho mapya ya Kitita cha Mafao kwa wanachama wake utekelezaji utaanza rasmi Machi 1,2024. Hayo yamebainishwa leo Februari 28,2024 jijini Dar es Salaam na…

Bodaboda wachoma moto basi la Saibaba

Na Isri Mohamed Basi la Kampuni ya Saibaba Express lililokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea mkoani Arusha limechomwa moto na kundi la bodaboda katika Kata ya Mtonga, Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga baada ya mwenzao kugongwa na basi…

Pinda amshukuru Rais Samia uwekezaji mkubwa Hospitali ya Mpimbwe

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mlele Mbunge wa Jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kutokana na uwekezaji mkubwa unaofanyika…

Tanzania yatoa msimamo wake WTO

Tanzania ikiwa ni mmoja wa waanzilishi wa Shirika la Biashara Dumiani (WTO) inaunga mkono mfumo wa biashara unaotegemea sheria ambazo zinatoa ulinzi na fursa kwa Nchi wanachama wote haswa Nchi zinazoendelea katika kuhakikisha maendeleo endelevu duniani yanapatikana Vilevile, Tanzania inaunga…

Yanga : Hatuendi Misri kununua kanzu, tunataka kuongoza kundi

Na Isri Mohamed Baada ya kumaliza kibarua chao dhidi ya CR Belouizdad kwa kuwapa kichapo cha mabao manne kwa nunge yaliyowafikisha hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrika, klabu ya Yanga inatarajia kusafiri leo kuelekea nchini Misri kwa…

Serikali kujenga viwanda vya kuchakata samaki Kilwa, Fungurefu

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma SERIKALI kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)imesaini Mkataba wa upembuzi yakinifu wa ununuzi wa meli za uvuvi wa bahari kuu na ujenzi wa viwanda viwili vya kuchakata samaki Kilwa na Fungurefu utakaogharimu jumla ya…