Category: Habari Mpya
Wakili Malando ajitoa kesi ya mirathi Nzega, adai kuwepo mgongano wa maslahi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Nzega Wakili Edward Malando aliyekuwa akimwakilisha Salma Mohammed kwenye shauri la ndugu wanaovutana kwenye mirathi ya Zena Jalakhan amejitoa kwenye shauri hilo. Wakili Malando ametaja sababu za kujitoa kwenye kesi hiyo kuwa ni mgongano wa maslahi.Hata…
Serikali kuyaendeleza makazi ya Mwalimu Nyerere
Serikali imedhamiria kuyafanya makazi ya hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere yaliyoko kijiji cha Mwitongo, wilayani Butiama mkoani Mara kuwa kituo cha utalii. Hayo yalisemwa jana (Jumanne, Februari 27, 2024) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akizungumza na…
Ving’ora na taa za vimulimuli marufuku kama huna kibali maalum – Polisi
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama barabarani limewataka wale wote waliofunga ving’ora na taa za vimulimuli kwenye magari na pikipiki zao pasipo kuwa na kibali maalumu kutoa mara moja kabla ya ukaguzi haujaanza…
Muhimbili yavuna kipande cha ubavu na kumtengenezea mgonjwa taya jipya
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika mwendelezo wa utoaji huduma za kibingwa na ubingwa bobezi unaotokana na kujenga uwezo wa watalaam wazawa chini ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan, Hospitali ya Taifa…
Watuhumiwa sita wa mauaji ya rapa A.K.A wakamatwa
Na Isri Mohamed Ikiwa ni mwaka moja umepita tangu Rapa mkubwa nchini Afrika Kusini, Kiernan Forbes ‘A.K.A’ apigwe risasi na kufariki dunia, Polisi nchini humo wamethibitisha kuwakamata Watuhumiwa sita wa mauaji yake akiwemo ‘Mastermind’ aliyeandaa mpango mzima na kulipa Wauaji…