JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

CHADEMA yamlilia mzee Mwinyi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Rais wa Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi kilichotokea Februari 29, 2024 jijini Dar es Salaam. Taarifa iliyotolewa leo…

Muhimbili yaja na mpango wa dharura wa kuhudumia wanachama wa NHIF

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kufuatia baadhi ya Hospitali kusitisha huduma kwa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuanzia Machi 1, 2024, Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) umekuja na mpango wa dharura…

Chalamila : Wananchi jitokezeni kumuaga Rais wa Awamu ya Pili Hayati Mwinyi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Machi 01,2024 akiongea na vyombo vya habari Ofisini kwake Ilala Boma amewaomba wananchi hususani wakazi wa Mkoa huo kujitokeza kwa wingi katika barabara ambazo mwili huo utapita na uwanjani ambako…