Category: Habari Mpya
Taasisi ya DIWO yawakutanisha wanawake, yawaonya kutobaguana
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Kuelekea siku ya wanawake duniani inayoadhimishwa kila mwaka Machi 8,Taasisi isiyo ya Kiserikali inalojihusisha na masuala ya Wanawake nchini ya Dira Women(DIWO )imewakutanisha wanawake wa Mkoa wa Dodoma katika usiku wa mwanamke, uchumi na familia ili…
ACT – Wazalendo wazindua sera ya jinsia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha ACT Wazalendo kimezindua Sera ya jinsia ikiwa ni mwelekeo na jitihada za chama hicho kuongeza ushiriki wa wanawake katika vyombo vya maamuzi. ACT Wazalendo kimekuwa chama cha kwanza cha siasa kuwa…
‘Marufuku kuondoa wagonjwa NHIF wodini’
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amepiga marufuku vituo binafsi kuwaondoa wodini wagonjwa ambao ni wanachama wa NHIF, mara baada ya saa 48 kupita tangu kutolewa kwa taarifa ya APHFTA. Amesema kufanya hivyo ni kuvunja sheria ya madaktari, madaktari wa meno…
Wanafunzi 17 wafariki kwa ugonjwa uti wa mgongo Nigeria
Wanafunzi 17 kutoka shule tano katika Jimbo la Yobe, Kaskazini Mashariki mwa Nigeria wamekufa kufuatia mlipuko wa homa ya uti wa mgongo, mamlaka inathibitisha. Miongoni mwa wanafunzi hao, wapo wa shule za msingi na sekondari za bweni, kamishna wa elimu wa…
TEF yamlilia Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), limepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Rais (mstaafu) wa Awamu ya Pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi aliyefariki dunia Februari 29, 2024 katika Hospitali ya Mzena, Kijitonyama, jijini Dar es Salaam alikokuwa anapatiwa matibabu….