Category: Habari Mpya
Jaji Mkuu: Mfumo wa mahakama jitihada za Mwinyi
Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma amesema mabadiliko katika katiba ya nchi, mfumo wa mahakama, mahakama ya kadhi uliopo leo umetokana na jitihada za Hayati Ali Hassan Mwinyi. Amesema pia Hayati Mzee Mwinyi atakumbukwa katika utawala wa sheria…
Waandishi wa habari wana jukumu la kusaidia kutoa elimu ya mabadiliko ya hali ya hewa
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Vyombo vya Habari nchini wametakiwa kuendesha ajenda ya hali ya Mabadiliko ya hali ya Hewa kuanzia ngazi ya chekechea mpaka ngazi ya chuo. Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi, Hellen Utaru amesema waandishi wa…
Wanachama NHIF wafurahia huduma za JKCI Hospitali ya Dar Group
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wameipongeza Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group iliyopo TAZARA wilayani Temeke kwa huduma bora za matibabu inazozitoa kwa wagonjwa….
BAKWATA Tabora wafanya ibada maalum kumwombea hayati Mwinyi
Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Tabora Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Burian ameungana na Mashehe wa Mkoa huo, waumini wa dini ya Kiislamu na mamia ya wakazi wa Mkoa huo kumwombea dua Rais Mstaafu wa awamu ya pili…