Category: Habari Mpya
Bwawa la Nyerere mkombozi, Rais Samia atimiza ndoto ya Magufuli kwa vitendo
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Rufiji Mgawo wa umeme uliolisumbua taifa kwa muda mrefu sasa unafikia ukomo baada ya Bwawa la Mwalimu Nyerere kuanza kuzalisha umeme kwa kuingiza kwenye gridi ya taifa megawati 235 mwezi huu, JAMHURI linathibitisha. Kuanzia Febaruari 22,…
Hospitali ya Rufaa Songea ilivyomaliza adha ya wagonjwa kwenda Muhimbili
Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Songea SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Afya imetenga zaidi ya shilingi bilioni 6.57 kutekeleza mradi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa,Songea. Fedha hizo ni kwa ajili ya…
Serikali yaiomba FAO kuunga mkono mipango ya kupambana na athari za mabadiliko tabianchi
Na Mwandishi Maalum, JamhuriMedia WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo ameliomba Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) kuendelea Kuunga mkono mipango ya Serikali ya Tanzania katika usimamizi wa mazingira na kupambana…
CBE yapongezwa kwa ubunifu wa kozi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali imeiagiza wenye maabasi nchini kuhakikisha madereva na wahudumu wao wote wa usafiri wa umma nchini wanapata mafunzo ya namna ya kutoa huduma ya kwanza ndani ya kipindi cha miaka mitatu. Imesema mafunzo…
Mkurugenzi NHIF atembelea hospitali ya Regency, huduma zarejea kama kawa Regency
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Ujumbe wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, (NHIF) umetembelea hospitali ya Regency ya Upanga jinjini Dar es Salaam na kuzungumza na uongozi ambapo wamekubaliana hospitali hiyo kuendelea kutoa huduma wakati masuala…