JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

TAWIRI yabainisha umuhimu wa wadudu katika uhifadhi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Babati Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) imebainisha kuwa, wadudu hususani nyuki ni wanyamapori wenye mchango mkubwa katika uhifadhi wakiwa na jukumu kubwa la uchavushaji mimea ambayo hutumiwa kama chakula na wanyamapori wakubwa na wadogo….

Kinana : Rais Samia anadhamira ya dhati kufanikisha uchaguzi huru na wa haki

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewahakikishia Watanzania kuwa serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imedhamiria kufanya uchaguzi huru na wa haki kuanzia wa serikali za mitaa mwaka huu na uchaguzi…

Jeshi la Polisi lawashikilia watatu kwa wizi wa pikipiki

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikiria Omari Mlopa (28),mkazi wa Mlandizi na wenzake wawili wakiwa na pikipiki 32 zilizoibwa na baadae kuzifanya zao kwa kuzikodisha kwa mikataba kwa watu…

Makonda abaini kukithiri kwa dhulma, Rais Samia kuanza kusikiliza kero

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIBU wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Paul Makonda amesema katika ziara yake aliyoifanya hivi karibuni katika mikoa 23 amebaini mambo makubwa matatu ikiwemo kukithiri kwa dhulma. Akizungumza…

Kwaheri Mzee Mwinyi

Na Waandishi Wetu, JamhuriMedia Mwendo wa maisha ya Rais wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, umemalizika baada ya Jumamosi ya wiki iliyopita kuzikwa katika Kijiji cha Mangapwani, Zanzibar. Mwinyi, maarufu kwa jina la ‘Mzee Rukhsa’ amezikwa katika kijiji hicho…