JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Zimbabwe yavutiwa na mpango wa Tanzania kurejesha minada ya vito

Waziri wa Madini wa Jamhuri ya Zimbabwe Soda Zhemu amesema kuwa nchi yake imevutiwa na Mifumo ya Minada ya Madini ya Vito iliyo katika hatua za mwisho kurejeshwa nchini Tanzania baada ya kukamilika kwa Marekebisho ya Sheria. Amesema hayo Machi…

Polisi yawataka wananchi kuwataja wezi wa mifugo Endasak Manyara

Na. Abel Paul, Jeshi la Polisi- Katesh Manyara Jeshi la Polisi Kikosi cha kuzuia wizi wa Mifugo limewataka Wananchi wa Kata ya Endasak Wilaya Hanang Mkoa wa Manyara kuwataja watu wanaojihusisha na wizi wa Mifugo katika eneo hilo huku likiwataka…

Serikali yatangaza kupungua ugonjwa wa matende, mabusha

Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali imetangaza kupungua kwa maambukizi ya magonjwa ya kuambukiza ikiwemo matende na mabusha Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani. Akizungumza na waandishi hii leo Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema nchi imepiga…

Waziri Gwajima atoa rai kwa taasisi kuwekeza kwa wanawake

Na Jumanne Magazi, Jamhuriamedia, Dar es Salaam Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu Dk Dorothy Gwajima ametoa rai kwa taasisi mbalimbali nchini kuendelea kuwekeza kwa wanawake, kwani kwa kufanya hivyo, ni kuongeza kasi ya maendeleo, kukuza…

UNICEF yaahidi kusaidia utekelezaji mageuzi sekta ya elimu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Shirika la Kimataifa la Kuhudunia Watoto (UNICEF) limeahidi kusaidia utekelezaji wa mageuzi katika sekta ya elimu ili kuhakikisha watoto wa kitanzania wanapata elimu bora. Hayo yameelezwa Machi 12, 2024 Jijini Dar es Salaam…

Kamati ya Bunge yakagua ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati Mtumba

📌 Yapongeza Wizara kushirikisha Taasisi za Umma kwenye ujenzi 📌 Yataka mkandarasi kuongeza kasi ya ujenzi 📌 Ujenzi wafikia asilimia 75 Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeipongeza Wizara ya Nishati kwa…