Category: Habari Mpya
Watatu wahukumiwa kwa kupokea rushwa ya sh 130,000
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imewahukumu Afisa Mtendaji wa Kata ya Iwindi na wenzake wawili kulipa faini ya Shilingi 500,000 kila mmoja au kwenda jela miaka mitatu kwa kosa la kupokea rushwa kiasi cha sh….
Kaimu Afisa Mtendaji kata ahukumiwa kwenda jela miaka mitatu kwa kuomba na kupokea rushwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Bunda Juni 11 , 2024 katika Mahakama ya Wilaya ya Bunda imeamuliwa kesi ya Jinai Na.01/2023 mbele ya Mulokozi Kamuntu, Hakimu Mkazi Mfawidhi Mwandamizi wa mahakama hiyo. Katika shauri hilo lililoendeshwa na Mwendesha Mashtaka wa TAKUKURU…
Mchungaji Mastai : Vijana kuweni waangalifu na mitandao ya kijamii
Na Magrethy Katengu,Jaa8huriMedia Dar es Salaam NAIBU Katibu Mkuu Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Mchungaji Wilbroad Mastai, amewashauri vijana kuwa waangalifu na mitandao ya kijamii kwa kuwa uharibifu mkubwa wa kidunia umeelekezwa huko…
Bajeti ya 2024 yagusa Watumishi Umma, Wastaafu
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, imesikia kilio watumishi wa umma na wastaafu kuhusu kikokotoo na imekifanyia kazi kwa maslahi…
Tanzania kuendelea kushirikiana na Umoja wa Posta Duniani
Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Arusha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeahidi kuendelea kushirikiana na Umoja wa Posta Duniani (UPU) na Mashirika mengine ya kimataifa kukuza na kuendeleza Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) na ustawi wa jamii yote ulimwenguni….
Waziri Ummy ameonya juu ya matumizi holela ya dawa
Na WAF, DODOMA Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ameitaka jamii ya watanzania kutumia dawa kwa kufuata maelekezo ya wataalamu wa afya ili kuondokana na changamoto ya usugu wa vimelea vya dawa mwilini (UVIDA) Waziri Ummy ametoa wito huo Juni 12,2024…