Category: Habari Mpya
Katambi awaomba viongozi kushirikiana ili kuchochea maendeleo Jimbo la Shinyanga Mjini
Na Suzy Butondo,JamhuriMedia,Shinyanga Mbunge wa Jimbo la Shinyanga mjini ambaye pia ni naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Patrobas Katambi amewaomba viongozi wa CCM na Serikali kushirikiane naye kufanya shughuli mbalimbali za kimaendeleo na…
CTI yampongeza Rais Samia kwa kuwajali wawekezaji
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Mkuranga SHIRIKISHO la Wenye Viwanda nchini (CTI) ,limempongeza Rais Samia kwa kuwapa fursa kubwa wafanyabiashara ya kukaa nao meza moja ya majadiliano kuhusu namna ya kutatua changamoto zao. Hayo yalisemwa jana na Mkurugenzi wa Shirikisho hilo, Leodegar…
PURA yawekeana hati ya mashirikiano na Chuo cha DMI
Na Magrethy Katengu, JamahuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petrol (PURA) wamewekeana hati ya Saini ya ushirikiano na Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) katika kupata wataalamu wakufunzi watakaosaidia Usalama katika shughuli za uchimbaji…
Wadau waombwa kuwekeza kwenye tasnia ya urembo
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia Mwakilishi wa Tanzania wa Mashindano la Mrembo wa Dunia (Miss World 2024)Halima Kopwe amewaomba wadau mbalimbali kuwekeza kwenye tasnia ya urembo kama inavyofanya vilabu mpira ili vijana wengi kupenda tasnia hiyo na kuweza kuitangaza Tanzani Kimataifa. Akizungumza…
Ofisi ya Waziri Mkuu itaendelea kuratibu programu ya ASDP II ili kuongeza tija – Dk Yonazi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ameeleza kuwa, Ofisi yake itaendelea kuratibu Programu ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo Awamu ya Pili (ASDP II) ili kuendelea…
Kamati ya Bunge yataka mipango matumizi ya ardhi vijijini kusimamiwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ruangwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii imeitaka mipango ya matumizi ya ardhi inayotekelezwa katika vijiji mbalimbali nchini kusimamiwa ipasavgo na Kamati za Vijiji ili iweze kuleta tija katika vijiji husika. Aidha,…