JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

TEHAMA yaanda kongamano litakalo wakutanisha watu 300 Arusha

Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Tume ya Habari na Mawasiliano nchini (TEHAMA), imeendaa jukwaa la tatu la usalama wa mitandao ya kielekitroniki la mwaka 2024 litakalofanyika kuanzia April 4 hadi 5 mwaka huu jijini Arusha ambapo washiriki 300…

Mume aua mkewe kwa kumchinja na kisu

Na Mwandishi Wetu ,JamhuriMedia, Mbeya Mwanaume mmoja aitwaye,Ombeni Kilawa (43,) mkazi wa Kijiji cha Lusese, Kata ya Igurusi wilayani Mbarali anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya kwa tuhuma za kumuua mke wake kwa kumchinja na kisu shingoni . Kwa…

Wakazi Kisabi wagoma kuhamia Kikongo

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Wakazi wa Kitongoji cha Kisabi , Mlandizi ,Kibaha Vijijini , Mkoani Pwani wanaotakiwa kupisha eneo hilo na kuhamia Kikongo eneo lenye ekari 1,000 lililotolewa na Serikali wamegomea kuhama wakidai ugumu wa kuanza maisha mapya. Hayo…

Watoto chini ya miaka mitano wapatiwa matone ya vitamini A

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara afya imepokea vidonge vya matone ya Vitamini A milioni 22 kutoka kwa shirika la Nutritrion International kwa ajili ya kuwapatie watoto walio na umri chini ya miaka 5 wapatao milioni…

TAKUKURU Ruvuma yabaini mapungufu miradi minne ya bilioni 1.55

Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Songea TAASISI ya Kuzuia na Kupambana ya Rushwa (TAKUKURU), mkoani Ruvuma imebaini mapungufu na kuchukua hatua katika miradi minne ya maendeleo yenye thamani ya bilioni 1.55. Hayo yamesemwa na Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Hamza…

Regrow waleta neema Hifadhi ya Taifa Ruaha

…………………….. Na Mwandishi Wetu Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Kukuza Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW), umezidi kuwa neema kwa uhifadhi wa Ikolojia pamoja Utalii katika Hifadhi ya Taifa Ruaha kutokana na Maboresho ya mito uliofanywa Wilaya ya Mbarali…