Category: Habari Mpya
Wananchi bonde la mto Rufiji wapewa tahadhari
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amewataka wananchi walioweka makazi na kufanya shughuli za kilimo katika bonde la mto Rufiji kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya maji yanayoongezeka katika mto huo. Mkuu wa Mkoa wa…
Chuo cha Bahari chandaa kongamano la kutafsiri dhana ya uchumi wa buluu
Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI), kimeandaa kongamano la tatu la mwaka la kimataifa, litakalozungumzia dhana nzima ya uchumi wa buluu. Akizungumza na waandishi wa habari mkuu wa chuo hicho Dkt Tumaini…
Serikali yapongeza Dira ya miaka 50 CBE
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI imekitaka Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kuweka mikakati ya kujiimarisha kiteknolojia, uvumbuzi na ubunifu ili kuendana na mahitaji ya soko la ajira ambayo yanakwenda kwa kasi. Wito huo ulitolewa leo jijini…
NMB yatoa vifaa vya ujenzi kwa shule sita Nyasa
Katikaati kushoto ni Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kusini Faraja Ngingo akimkabidhi vifaa vya ujenzi Katibu Tawala waaa Wilaya ya Nyasa Salim Ismalil katika hafla ya kutoa vifaa hivyo iliyofanyika katika shule ya msingi Nangombo ambapo NMB imetoa…