Category: Habari Mpya
Prof. Elisante: Tanzania nchi ya kwanza Afrika kutumia TTS
Na Mary Gwera, Mahakama-Dodoma Mtendaji Mkuu Mahakama ya Tanzania, Prof. Elisante Ole Gabriel amesema Tanzania ndio nchi ya kwanza barani Afrika kutumia Mfumo wa Unukuzi na Tafsiri (TTS) mahakamani. Prof. Ole Gabriel aliyasema hayo tarehe 17 Machi, 2024 wakati Kamati…
TAWA : Ujangili wa tembo umepungua nchini
Tanzania imefanikiwa kudhibiti ujangili wa tembo kutokana na juhudi za miaka mingi iliyofanywa n Serikali kwa kushirikiana na vikosi mbalimbali, mashirika pamoja taasisi za ndani. Akizungumza wakati wa mafunzo kwa waandishi wa habari wa Chama cha Waandishi wa Habari Tanzania…
Dk Biteko ashiriki misa takatifu ya kumwombea hayati Magufuli Chato
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anatekeleza kwa kasi kubwa misingi iliyowekwa na Hayati Magufuli 📌 Dkt. Samia ajenga Makumbusho ya Hayati Magufuli Chato 📌 Familia ya Magufuli, Mbunge Chato wamshukuru Rais Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt….
Ujenzi wa bandari Kisiju kizungumkuti, wasuasua
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mradi wa Ujenzi wa Bandari ya Kisiju ,Kata ya Kisiju ,Mkuranga mkoani Pwani ,bado kaa la moto ,kizungumkuti kwani umechukua muda mrefu huku wananchi wakiwa katika sintofahamu. Wajumbe wa Bodi ya Barabara ,Mkoani humo, wameonesha…
‘Madai ya ACT- Wazalendo kujitoa Serikali ya Umoja wa Kitaifa yapuuzwe’
KATIBU wa Kamati ya NEC,Idara ya Itikadi,Uenezi na Mafunzo CCM Zanzibar Khamis Mbeto Khamis amesema kuwa madai ya ACT-Wazalendo ya kujitoa katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) yapuuzwe na hayana mashiko kwani Serikali hiyo imeundwa kwa nguvu ya kura…