Category: Habari Mpya
Raia wa Burundi, DR Congo wanaswa kwa kuishi bila vibali
Polisi mkoani Kigoma kwa kushirikiana Idara ya Uhamiaji imewakamata watu 86 kutoka nchi za Burundi na Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo wakiwa wanaishi na kufanya kazi nchini bila vibali. Kamanda wa Polisi Mkoa Kigoma, Filemon Makungu akitoa taarifa kwa waandishi…
Mtoto wa miaka 8 ajinyonga, kisa ugomvi wa wazazi wake
Na isri Mohamed, JamhuriMedia, Manyara MTOTO wa miaka nane, mwanafunzi wa darasa la pili wa shule ya msingi Maisaka mjini Babati mkoani Manyara, amekutwa amejinyonga kwa kutumia mkanda juu ya mti wa mstafeli uliopo nje ya nyumba yao. Taarifa za…
Watuhumiwa wa uhalifu, dawa za kulevya wakamatwa Arusha
Na Mwandishi Wetu, Jeshi la Polisi, Arusha Jeshi la Polisi mkoani Arusha limesema hali ya ulinzi na usalama mkoani humo kwa mwezi Februari hadi sasa ni shwari huku likiwakamata watuhumiwa wa uhalifu, dawa za kulevya pamoja pikipiki zinazotumika katika uhalifu….
ACT -Wazalendo : Serikali itekeleze ahadi uchaguzi Serikali za Mitaa
Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kutekeleza ahadi yake ya kutunga sheria ya kuiwezesha Tume Huru ya Uchaguzi kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Kauli hiyo imetolewa na Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho, Isihaka Mchinjita kwenye mapokezi ya kumpongeza…
DC Shaka azitembelea familia zilizoathirika na mafuriko Kilosa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka amelazimika kutembea zaidi ya kilometa 5 ndani ya maji baada kuzungukwa wakiwa katika harakati za kusaidia kuokoa wananchi waliopata mafuriko kufuatia kujaa mto Miombo baada kupokea maji…