JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Mchinjita Waziri Mkuu Kivuli ACT Wazalendo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amemteua Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho, Isihaka Mchinjita kuwa Waziri Mkuu Kivuli ACT Wazalendo. Uteuzi huo umejiri leo Machi 20, 2024 wakati Dorothy Semu…

Breaking News; Mzee Mjegeje afariki dunia

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mchekeshaji anayefahamika zaidi kwa jina la Mzee wa Mjegeje amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam. Jamhuri Media imezungumza na meneja wake ambaye amethibitisha kifo chake…

Mwalimu Mkuu Geita afikishwa kortini kwa kughushi 1,500,000

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Geita Machi 18, 2024, shauri la rushwa na uhujumu uchumi Na. 7060/2024, lilifunguliwa mbele ya Atupye Benson Fungo ambaye ni Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Mbogwe dhidi ya Ambakisye Amani Mfwango ambaye ni mwalimu…

Dk Biteko ashiriki sherehe ya kuwekwa wakfu na kusimikwa askofu mpya Jimbo Katoliki la Mafinga

📌 Asema Rais Samia anaendelea kutoa ushirikiano kwa madhehebu ya Dini 📌 Asisitiza utunzaji wa mazingira 📌 Ampongeza Dkt. Samia kwa kuendesha nchi kwa utulivu na kasi ya maendeleo 📌 Atoa neno kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa Na Mwandishi Wetu,…

Dhahabu kilo 9 iliyokuwa inatoroshwa yakamatwa Mbeya

–Waziri Mavunde aingia mtaani na kikosi kazi kwenye eneo la maficho –Aupongeza uongozi mkoa na vyombo vya usalama –Aagiza kusimamisha leseni za biashara ya madini za watuhumiwa –Dhahabu iliyokamatwa ina thamani ya Sh 1,555,476,586 –Serikali ingepata mapato ya Sh 144,659,322…