Category: Habari Mpya
TMX yapaisha mapato Kagera
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kagera Mfumo wa Unununuzi wa Mazao kwa njia ya Mtandao unaoedeshwa na Soko la Bidhaa Tanzania (TMX), umeongeza ushuru wa mapato mkoani Kagera kwa zaidi ya asilimia 200. Kwa misimu miwili Serikali kupitia Soko la Bidhaa…
Bil. 431 kutekeleza miradi ya barabara za kimkakati Kagera
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kagera Serikali ya Awamu ya Sita imetoa kiasi cha Sh bilioni 431 kwa kipindi cha miaka mitatu kwa ajili ya kutekeleza miradi ya barabara za kimkakati, ili kuhakikisha Mkoa wa Kagera unaunganisha barabara zake na mikoa…
Diamond ampa pole Rais Dk Mwinyi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Wasafi, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond Platinumz’ kufuatia kifo cha baba yake…
Miaka mitatu ya Rais Samia ilivyoleta usawa kwenye uwanja wa siasa
Na Dk Ruben Lumbagala, JamhuriMedia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ametimiza miaka mitatu ya uongozi wake tangu alipoapishwa rasmi Machi 19, 2021 kuwa Rais wa Tanzania kufuatia kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dk. John Magufuli kilichotokea Machi…
Manyara kuchunguzwa ubadhilifu fedha za miradi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Babati Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeielekeza Ofisi ya Rais – TAMISEMI kufanya, ufuatiliaji na uchunguzi wa fedha walizopeleka kutekeleza miradi katika mkoa wa Manyara hasa katika miradi ya…
Tanzania, Uholanzi, China kushirikiana mazao ya mbogamboga
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli amesema Serikali ya Tanzania, China na Uholanzi zitaendelea kushirikiana kukiendeleza Kituo cha Taasisi ya Utafiti na Uendelezaji wa Mazao ya Mbogamboga Duniani cha World Vegetable Centre ili kukidhi mahitaji ya wakulima. Mweli…