Category: Habari Mpya
DC Simiyu : Hatutowavumilia wanaokaidi bei elekezi ya sukari
Mkuu wa Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, Simon Simalenga amesema kuwa wafanyabiashara katika wilaya hiyo wameendelea kukaidi agizo la serikali la kufuata bei elekezi ya sukari na kuwauzia wananchi bei kubwa. Simalenga amesema kuwa bei ya sukari ambayo wafanyabiashara wanawauzia…
NIDA yatengeneza vitambulisho vya taifa Njombe kwa asilimia 95
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe Jumla ya vitambulisho vya Taifa 369,002 vimezalishwa katika mkoa wa Njombe na kufikia zaidi ya asilimia 95 kati ya vitambulisho 397,143 ambavyo wananchi walijiandikisha na tayari vimeshaanza kusambazwa kwenye ofisi za maofisa watendaji wa kata….
Dk Mwinyi azindua vitalu vya uwekezaji mafuta na gesi asilia
Na Fauzia Mussa, Maelezo Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapuinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inatoa fursa kwa wawekezaji katika sekta ya Mafuta na Gesi Asilia ili kuweza kutekeleza shughuli hizo. Akizindua duru ya kwanza…
Mgombea udiwani kwa tiketi ya CCM Kata ya Bukundi aibuka kidedea
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Meatu Mkoa wa Simiyu Bw. Athumani Masasi amemtangaza Bw. Yunusi Kilo Ally wa CCM kuwa mshindi wa Udiwani katika Uchaguzi Mdogo wa Udiwani Kata ya Bukundi kwa kupata kura 2,182 na kumshinda Bw. Joseph Masibuka…
Treni binafsi za mizigo kuanza TAZARA
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA) limesaini mkataba na sekta binafsi ya kuleta treni ambazo zitabeba mizigo kutoka bandarini na kupeleka nchi jirani. Mkataba huo umesainiwa Machi 20, 2024 Makao Makuu…
CCM yashinda udiwani Kigoma Ujiji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda kiti cha udiwani katika Kata ya Kasingirima Manispaa ya Kigoma Ujiji, baada ya mgombea wa chama hicho Mlekwa Mfamao Kigeni kuibuka mshindi kwenye uchaguzi mdogo wa udiwani kwenye kata hiyo…