JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Sababu za Ziwa Tanganyika kuongezeka kina cha maji hizi hapa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Imeelezwa kuwa uwepo wa shughuli za kibinadamu na uwepo wa majanga ya asili vimetajwa kuwa ni moja ya sababu ya kuongezeka kwa kina cha maji katika Ziwa Tanganyika. Hayo yamebainishwa kupitia mkutano wa mwaka wa…

Dk Mpango ashtushwa matumizi ya fedha ujenzi wa Hospitali Mwanga

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango amemuagiza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa, kutuma timu ya watalaamu  kufika Wilaya ya Mwanga na kuchunguza matumizi ya fedha za ujenzi wa Hospitali ya…

Serikali yaelekezwa kuongeza nguvu mapambano dhidi ya Virusi Vya Ukimwi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imeshauri serikali kuongeza nguvu ya mapambano dhidi ya virusi vya UKIMWI katika maeneo ya migodi; vituo vya magari makubwa, maeneo ya mialo ya samaki…

Sweden kusaidia ujenzi wa SGR

Na Benny Mwaipaja, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Kimataifa na Biashara ya Nje wa Sweden, Diana Janse, jijini Dodoma, ambapo Naibu Waziri huyo, amemweleza…

Mafuriko Kilosa, wakazi 1400 waathirika, nyumba 351 zapata madhara

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilosa Jumla ya watu 1404 wameathirika na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha katika Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro na nyumba 351 zimeingia maji pamoja na vyoo 368 vimebomoka. Hayo yalisemwa na Mkuu wa Wilaya ya Kilosa,…

Wanawake sekta ya uvuvi Afrika watajwa kuwa na mchango mkubwa

Na Edward Kondela, JammhuriMedia, Dar es Salaam Imeelezwa kuwa wanawake wachakataji na wafanyabiashara wa mazao ya uvuvi barani Afrika wana mchango mkubwa katika Sekta ya Uvuvi, hususan katika uchatakaji na kilimo cha mwani. Hayo yamebainishwa jijini Dar es Salaam na…