Category: Habari Mpya
Klabu ya waandishi wa Habari Dar es Salaam, Polisi Kanda Maalum waunda kamati shirikishi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAANDISHI wa habari na askari Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam wameshauriwa kutenda kazi kwa kuheshimu misingi ya kisheria, haki za binadamu, utu wa mtu, haki za watu na haki za msingi…
Bashungwa : Wahandisi washauri wababaishaji wachukuliwe hatua kali za kisheria
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameagiza kuchukuliwa hatua kali za kisheria kwa wahandisi washauri wababaishaji ambao wameshindwa kusimamia miradi ya ujenzi wa barabara na kupelekea kuharibika kabla ya wakati. Ameeleza, wahandisi hao wamekuwa wakiisababishia hasara kubwa…
Mabula: Mkataba hautaongezwa ujenzi soko la Tarime
Na Helena Magabe Jamhuri media Tarime Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya hesabu za Serikali za mitaa (LAAC), Stanslaus Mabula ameagiza Halmashauri kusimamia mradi wa soko na itakapofika Mei 17,2024 ujenzi uwe umeisha. Ameiomba Halmashauri hiyo kuipatia…
Majaliwa azitaka halmashauri kuweka mpango wa ufuatiliaji na tathmini ya matumizi ya ardhi
Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Lindi WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezielekeza Halmashauri zote zinazotekeleza mradi wa Mpango wa Matumizi ya Ardhi ya Vijiji kuandaa mpango wa ufuatiliaji na tathmini ili kupima ufanisi wa utekelezaji wa mradi huo. Ametoa maelekezo hayo leo…
Mbaroni kwa kumuua mkewe na kumzika chumbani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Mohamedi Omari, mkazi wa kijiji cha Kimamba A, wilayani Kilosa kwa tuhuma za kumuua mkewe na kumzika ndani ya chumba wanacholala. Tukio hilo la…
Walioleta mtandao wa Starlink wakamatwa
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WATU wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa tuhuma za kuingiza vifaa vya mawasiliano ya intaneti nchini bila kufuata utaratibu wa kisheria vyenye jina la STARLINK KIT/DEVICE….