JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Bilionea Sabodo afariki dunia

Bilionea maarufu nchini, Mustafa Jaffer Sabodo amefariki Dunia leo alfajiri akiwa nyumbani kwakwe, Masaki jijini Dar es Salaam, mtoto wa marehemu, Danstan ameiambia Daily News Digital. “Mzee amefariki leo alfajiri akiwa nyumbani. Taratibu za mazishi zinaendelea na atazikwa katika makaburi…

TEMESA yaagizwa kuboresha huduma za vivuko

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mafia Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Lazaro Kilahala kuhakikishia anasimamia masuala ya usalama katika vivuko vyote nchini ili viweze kutoa huduma bora pamoja na kulinda usalama…

‘Simiyu ina takwimu kubwa za watu wenye TB’

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Simiyu Mkoa wa Simiyu bado una takwimu kubwa za watu wenye maambukizi ya ugonjwa wa kifua kikuu (TB), ambapo takwimu zinaonyesha watu 3,321 walibainika kuwa na maambukizi mwaka 2023. Akizungumza na waandishi wa habari kuelekea maazimisho…

Aweso : Ufinyu wa bajeti umekwamisha miradi mingi ya maji

Na Mwandisho Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema miradi mingi ya maji ilishindwa kufanikiwa kutokana na ufinyu wa bajeti lakini katika kipindi kifupi cha miaka mitatu ya Rais Samia Suluhu bajeti ya wizara ya Maji imeongezeka na…

94 wakamatwa Tanga makosa ya uhalifu

Jeshi la Polisi Mkoa Wa Tanga limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 94 kwa makosa mbalimbali ikiwemo uvunjaji ,mauaji,kujeruhi ,kusafirisha wahamiaji haramu ,kuharibu mali pamoja na kupatikana na silaha sita aina ya Gobole. Akiongea na waandishi wa habari kamanda wa polisi Mkoa wa…