JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Benki Kuu kukabiliana na upungufu wa fedha za kigeni

Benki Kuu ya Tanzania imeendelea kushiriki kikamilifu katika Soko la Jumla la Fedha za Kigeni, kwa kuuza dola ya Marekani kwa benki za biashara ikiwa ni sehemu ya juhudi zinazoendelea za kupunguza uhaba wa fedha za kigeni nchini. Kwa mujibu…

JNIA wasisitiza umuhimu wa kufuatilia taarifa za hali ya hewa kuepuka madhara

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Kituo Kituo Cha Hali ya Hewa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) imeadhimisha siku ya Hali ya Hewa Duniani kwa kutoa elimu kwa wadau mbalimbali wa maendeleo, huku wakiitaka jamii…

Nchimbi afurahishwa na msimamo wa wana-CCM Pemba

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pemba KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema anawaheshimu na kuwakubali wana CCM wa Pemba kwa misimamo yao thabiti katika kuilinda na kuitetea CCM bila kuyumba. Dk. Nchimbi pia amewapongeza kwa…

Chuo Kikuu Marekani champa udaktari wa heshima Dk. Rose Rwakatare

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani MWENYEKITI wa Wazazi Mkoa wa Morogoro (CCM), Dk. Rose Rwakatare ametunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima (PhD) na Chuo Kikuu cha All Nations Christian Church International University kilichopo Texas Marekani (ANCCI) kutokana na mchango wake…

Rais Samia asikia kilio cha wachimbaji wadogo Songwe, leseni 37 zatolewa

Kunufaisha zaidi ya wachimbaji 5000 -Wamshukuru Rais Samia kwa kuwaendeleza wachimbaji wadogo _Waziri Mavunde awataka wachimbaji kuongeza uzalishaji baada ya kupata Leseni Kwa sasa wazalisha madini yenye thamani ya Bilioni 101 kwa miezi nane(8) Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Songwe Serikali ya…

Mbarawa awataka Watanzania kufuatilia kwa karibu utabiri wa hali ya hewa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amewataka Watanzania kuendelea kufuatilia kwa karibu taarifa zinazotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kwa kuwa taarifa zinazotolewa mamlaka hiyo inatoa taarifa zenye uhakika ili…