Category: Habari Mpya
Sanga : Tutahakikisha tunatoa hati kupitia mradi wa LTIP
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amesema wizara yake itahakikisha inatoa Hatimiliki za Ardhi katika maeneo yote Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) unatekelezwa. Mhandisi Sanga amesema hayo leo tarehe 27…
Makamu wa Rais ahitimisha Jukwaa la uwekezaji la Tanzania, China
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewakaribisha wawekezaji kutoka nchini China na mataifa mengine kuwekeza nchini Tanzania kutokana na mazingira rafiki ya kijiografia, kimiundombinu, kisiasa, kisera na kisheria yaliyopo. Makamu wa Rais amesema…
Wadau wachambua miaka mitatu ya Samia
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan amefanikiwa kuongeza fursa hasa za ushiriki wa sekta binafsi katika kupanua wigo wa ukuaji wa uchumi nchini. Hayo yamebainishwa jijini Dar…
Wadau wachambua miaka mitatu ya Samia
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan amefanikiwa kuongeza fursa hasa za ushiriki wa sekta binafsi katika kupanua wigo wa ukuaji wa uchumi nchini. Hayo yamebainishwa jijini Dar…
TANROADS: Uharibifu wa mazingira Busunzu umetokana na mabadiliko ya kimazingira
Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) umeeleza kuwa uchunguzi wa awali unaonesha uharibifu wa barabara eneo la Busunzu kwenye barabara kuu ya Kigoma-Mwanza umetokana na mabadiliko ya kimazingira (Geo-Environmental). Akitoa ufafanuzi wa suala hilo, Meneja wa TANROADS Mkoa wa Kigoma, Mhandisi…
Makonda awataka wanasiasa kuacha kumtofautisha Rais Samia na Magufuli
Katibu wa NEC,Itikadi , Uenezi na Mafunzo CCM , Paul Makonda amewataka wanasiasa kuacha tabia ya kumtofautisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dk. John Magufuli. Kauli hiyo ameitoa Mach 26,2024 jijini Dar es…