Category: Habari Mpya
Equity benki yakutanishwa na vikundi vya huduma ndogo Tarime Mjini
Na Helena Magabe, JamhuriMedia,Tarime Halmashauri ya Mji Tariime Kwa kushirikiana na Benki ya Equity wametoka semina fupi kwa vikundi mbalimbali vya huduma ndogo vilivyopo Tarime Mjini. Lengo la semina hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Blue Sky ni kuwajengea…
PAC yaridhika na uwekezaji na utekelezaji mradi wa SGR
Na Jumanne Magazi Makamo Mwenyeki wa Kamati ya Kudumu ya Uwekezaji wa mitaji ya Umma (PAC), Deus Sangu amesema kamati yao imeridhika uwekezaji na utekelezaji wa mradi wa Reli ya mwendokasi SGR. Ameyasema hayo leo Machi 27,2024 wakati walipofanya ziara…
DAS Magogwa awaasa wananchi kujiepusha ukataji miti kiholela
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha KATIBU Tawala wilaya ya Kibaha , mkoa wa Pwani, Moses Magogwa amewaasa wananchi kujiepusha na ukataji miti kiholela na badala yake wajenge tabia ya kupanda miti na kuitunza kwani ndio jawabu la kupambana na uharibifu…
Changamoto nane zinazowakabili wafanyabiashara
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chemba ya Biashara ,Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) imefanya ziara katika mikoa 14 na kubaini changamoto nane za wafanyabishara,wenye viwanda na wakulima na kushauri mamlaka husika kupita katika maeneno hayo na kufanya maboresho….
Majaliwa: Ni suala la muda tu ujenzi wa reli ya kati
Waziri Mkuu , Kassim Majaliwa amesema mradi wa Ujenzi wa Reli ya kati mpaka sasa umeshafika maeneo yote yanayopaswa kufikiwa. Majaliwa amesema hayo leo Machi 27, 2024 akihitimisha kampeni ya Kurasa 365 za mama katika ukumbi wa Mlimani City Dar…
Rais Samia awaandalia Iftar viongozi, wageni mbalimbali Ikulu Chamwino Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa Futari mtoto Yatima Shuraiya Ramadhan (6) wa Kituo cha Watoto Yatima cha Rahman kilichopo Chang’ombe Jijjini Dodoma. Rais Samia aliwaandalia Iftari Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali Ikulu Chamwino…