JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Mke aeleza alivyopewa taarifa na mume alivyojeruhiwa

Mwandishi Wetu Shahidi wa nne katika kesi ya kujeruhiinayomkabili mfanyakazi wa benki ya CRDB, Ibrahim Masahi, Careen Wiliam ameieleza mahakama kuwa mume wake Deogratus Minja wakati wanampeleka Hospitali ya Bochi aliwaeleza kuwa amejeruhiwa na jirani yake Masahi. Careen amedai hayo…

Tanzania yasaini mkataba wa ushirikiano na Hungary kwenye sekta ya maji

Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia, Dar es Salaam Tanzania imesainia Mkataba wa Ushirikiano na Nchi ya Hungary katika sekta ya maji ili kubadilishana uzoefu wa teknolojia katika sekta hiyo. Akizungumza leo Machi 28,2024 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa…

Rais Samia kuwaongoza viongozi ibada ya kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Sokoine

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Media Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwaongoza viongozi mbalimbali kwenye ibada maalum ya kumbukizi ya miaka 40 ya Hayati Edward Moringe Sokoine aliyekuwa Waziri Mkuu wa tatu wa Tanzania katika kipindi…

TAKUKURU: Miradi 171 yabaini kuwa na kasoro, uchunguzi waanza

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imefanya  tathmini ya miradi 1,800 na kati ya miradi hiyo 171 yenye thamani ya Sh bilioni 143.3 ilibainika kuwa na utekelezaji hafifu na hivyo kuanzisha uchunguzi. Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru,  Salum Hamduni…