Category: Habari Mpya
Hospitali ya Kenya kuzika miili ya watoto 475 ambayo haijachukuliwa na ndugu zao
Hospitali kubwa zaidi ya rufaa ya umma nchini Kenya imetangaza kuwa itazika mamia ya miili ambayo haijachukuliwa na jamaa wao iliyopo katika chumba chake cha kuhifadhi maiti ikiwa wanafamilia hawataichukua. “Wananchi wanaombwa kutambua na kuchukua miili hiyo ndani ya siku…
Rais mwenye umri mdogo zaidi Senegal aapishwa
Bassirou Diomaye Faye, rais wa tano wa Senegal, ameapishwa kuwa rais katika hafla iliyofanyika katika mji mkuu, Dakar. Mapema mwezi huu, Bw Faye mwenye umri wa miaka 44 alishinda uchaguzi uliocheleweshwa, na kupata 54% ya kura zilizopigwa, mbele ya mpinzani…
Bima ya afya kwa wote mwarobaini utekelezaji sera ya wazee
Na WAF, Dodoma Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa kuanza kwa utekelezaji wa bima ya Afya kwa wote itakuwa suluhu ya kudumu ya utekelezaji wa Sera ya wazee kupata matibabu bure katika kila Kituo cha Afya nchini….
Mashindano ya Gofu kumuenzi Lina kuanza kurindima tena Aprili 11 Morogoro
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Baada ya Awamu ya kwanza ya Mashindano ya Gofu ya kumuenzi mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Wanawake ya gofu Lina Nkiya kumalizika Moshi, mkoani Kilimanjaro, sasa ni zamu ya Morogoro…
Papa aomba kusitishwa kwa vita Gaza na Ukraine
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amesikitishwa na hali ya vita inayoikabili dunia kwa sasa na kuitaka jumuiya ya kimataifa kufanya kila liwezekanalo kusitisha vita Gaza na Ukraine. Papa Francis amesema hayo jana katika Jiji la Vatican wakati alipokuwa…
Nchimbi amjulia hali mzee Yusuf Makamba
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amemtembelea kumjulia hali mmoja wa Makatibu Wakuu Wastaafu wa CCM, Mzee Yusuf Makamba, Jumatatu, Aprili 1, 2024, nyumbani kwake jijini Dar es Salaam. Akimpongeza kwa kuteuliwa kushika nafasi…