JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Sheria ya bima ya afya kwa wote kuanza kutumika kabla ya mwisho wa Aprili 2024

Na. WAF, DodomaNaibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote itatangazwa kuanza kutumika kabla ya Mwisho wa Mwezi wa Nne Mwaka 2024 kwa tarehe itakayotajwa. Dkt. Mollel amebainisha hayo leo kwenye Bunge…

Mchengerwa atoa mil.40 kusaidia wananchi waliokumbwa na mafuriko Rufiji

Na Projestus Binamungu, JamhuriMedia, Rufiji Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Rufiji mkoani Pwani Mhe. Mohamed Mchengerwa, ametoa Sh.milioni 40 kwa ajili ya kusaidia ununuzi wa…

TFS kuendelea kuwachukulia hatua wanajihusisha na ujangili

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Wakala ya Huduma za Misitu Tanzania (TFS) inaendelea kuwachukulia hatua wale wote watakaojihusisha na unajangili wa mazao ya misitu kwa kuwafikisha mahakamani kwa mujibu wa Sheria. Haya yamebainishwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,…

Rais Samia asaini miswada minne kuwa sheria za uchaguzi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameidhinisha miswada ya sheria minne ili iweze kuwa sheria. Akilitaraifu Bunge la 12 Mkutano wa 15 mjini Dodoma leo , Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson amesema katika mkutano wa…

TARURA Kagera yafungua barabara mpya Km. 826

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kagera Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Kagera imefanikiwa kufungua  mtandao wa barabara mpya wa Km. 826  katika kipindi cha miaka mitatu kutokana na ongezeko la bajeti. Hayo yamebainishwa na Meneja wa…