JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Mgonjwa aliyepandikizwa figo ya nguruwe atoka hospitali

Mwanaume wa kwanza kupandikizwa figo iliyobadilishwa vinasaba kutoka kwa nguruwe ameruhusiwa kutoka hospitalini. Mtu huyo mwenye umri wa miaka 62 aliruhusiwa kwenda nyumbani, wiki mbili baada ya upasuaji wa dharura katika Hospitali Kuu ya Massachusetts (MGH). Upandikizaji wa viungo kutoka…

Majaliwa : Mapato ya ndani yafikia trilioni 17

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kati ya Julai, 2023 na Januari, 2024 Serikali imefanikiwa kukusanya sh. trilioni 17.1 ambazo ni sawa na asilimia 95.9 ya lengo la kukusanya sh. trilioni 17.9. Ametoa kauli hiyo leo (Jumatano, Aprili 3, 2024), wakati…

Dkt.Tax ajivunia ulinzi na usalama miaka 60 ya Muungano

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt .Stargomena Tax amesema suala la amani na utulivu vilivyopo nchini ni moja ya mafanikio ya kazi iliyofanywa na Wizara yake kupitia  sekta ya ulinzi  katika kipindi…

Majaiwa : Sh.Trilioni 10 zatrumika ujenzi wa SGR

Serikali imetumia kiasi cha shilingi  trilioni 10.69 kwa ajili ya ujenzi wa reli ya kisasa kwa kiwango cha kimataifa yenye urefu wa kilometa 1,219 kuanzia Dar es Saalam hadi Mwanza. Hayo yamesemwa jana Bungeni na Waziri Mkuu Kassim Majalwa wakati akisoma…

Mbarawa apokea vichwa vitano vya treni ya umeme, TRC yajiweka sawa

Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Uchukuzi Makame Mbarawa amepokea seti ya kwanza ya vichwa vitano vya treni ya umeme EMU,maarufu mchongoko na mabehewa matatu ya abiria vyenye thamani ya Dola za Marekani mil 190. Ameyasema hayo…