JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Ndumbaro kukabidhi eneo la mradi wa uwanja Arusha

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewasili katika eneo la Olmoti kwa ajili ya Hafla ya kumkabidhi mkandarasi eneo la ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu Jijini Arusha leo Aprili 6, 2024. Ndumbaro ameambatana na…

Senyamule kuipeleka Dodoma kwenye soko la utalii wa kimataifa

Na Dotto Kwilasa, JakhuriMedia, Dodoma OFISI ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kupitia Wadau wa Utalii imejipanga kuiweka Dodoma kwenye ramani ya utalii kupitia mkakati wake wa miaka 10 wa kuipeleka Dodoma kwenye soko la utalii la kimataifa ili kuiongezea…

Serikali kuendelea kuwakumbuka viongozi waliotangulia

Na Rahma Khamisi Maelezo   Waziri wa Ujenzi ,Mawasiliano na Uchukuzi Dkt Khalid Salum Muhammed amesema Serikali inatambua michango ya Viongozi  walioshiriki katika kuikomboa nchi ambao wameshatangulia mbele ya haki. Ameyasema hayo huko Migombani Wilaya ya Mjini  katika dua ya kumuombea aliyekuwa…

Mtendaji Mkuu TARURA aagiza usanifu upya daraja la Bibi Titi Mohammed -Mohoro

na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Rufiji Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff ameagiza timu ya wataalamu wa TARURA Makao Makuu na ya Mkoa wa Pwani kufanya mapitio ya usanifu wa daraja la…

Tanzania yapokea bilioni 45 kuboresha uzazi wa mpango

Na WAF DSM Serikali ya Uingereza imeendelea kuimarisha ushirikiano wake na Tanzania kwa kutoa Bilioni 45 kusaidia kufanikisha huduma za uzazi wa mpango nchini. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, wakati wa hafla ya kumpokea Waziri…

Waziri Mkuu akiwa bungeni katika picha mbalimbali

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, bungeni jijini Dodoma, Aprili 5, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu…