Category: Habari Mpya
Dk Nchimbi aweka msimamo diplomasia ya uchumi na siasa kunufaisha Tanzania
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema CCM, chini ya uongozi wa Mwenyekiti wake, Ndugu Dk. Samia Suluhu Hassan, itaendelea kutoa uongozi na kusimamia ili kuhakikisha diplomasia ya uchumi na siasa inaendelea kuiwezesha Tanzania…
Makamu wa Rais afungua mkutano wa WomenLift Healt
……………….. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amesema ni muhimu kushughulikia changamoto mbalimbali kama vile mila potofu na mabadiliko ya tabianchi ambazo ni kikwazo kwa wanawake kufikia nafasi za juu za uongozi katika…
Mtendaji Mkuu wa Mahakama aeleza mafanikio ya muungano
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mtendaji Mkuu wa Mahakama Tanzania ,Prof.Elisante Ole Gabriel ameeleza kuwa kwa kipindi cha miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ongezeko la Majaji wa Rufani limeongezeka kutoka Majaji 16 hadi kufikia 35 ikiwa ni zaidi asilimia…
Aweso azisisitiza Mamlaka za Maji utekelezaji agizo la Rais Samia kuhusu mita za malipo ya kabla
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amezisisitiza Mamlaka za Maji nchini kuhakikisha zinatekeleza agizo la Rais Dkt Samia Suluhu Hassan la kufunga mita za malipo ya kabla kwa wateja kwa lengo la kuboresha utoaji…
Baraza la Biashara Dar lajidili uendelevu wa biashara za wazawa, mazingira
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar e Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo April 05,2024 ameongoza Baraza la Biashara Mkoa wa Dar es Salaam katika Jljijini Dar es Salaam. Akiongea na waandishi wa Hlhabari RC Chalamila…