Category: Habari Mpya
Seris Foundation yatoa msaada wa vifaa kwa watoto wachanga siku ya mroto wa Afrika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam TAASISI ya SERIS (Seris Foundation) yenye makao makuu yake Ilala, Jijini Dar es Salaam Juni 16,2024 imetembelea na kutoa msaada wa vifaa kwa Watoto Wachanga waliozaliwa usiku wa kuamkia Juni 16 katika Hospitali…
RITA yaunda kamati kusimamia msikiti Arusha
Na Mwandishi Wetu,JammhuriMed8a, Arusha WAKALA wa Usajili Ufilisi na Udhamini nchini (RITA) umeunda Kamati ya muda itakayochukua majukumu ya Bodi ya Udhamini iliyomaliza muda wake ya Taasisi ya Arusha Muslim sambamba na kuunda kamati ya maalumu ya uchunguzi itakayofuatilia malalamiko…
Kikundi cha Tunaweza Mongolandege Ukonga wakabidhiwa katiba, wampongeza Rais Samia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mongolandege, Rajabu Tego amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufungua milango kwa kutoa miongozo yenye unafuu katika usajili wa vikundi mbalimbali kisheria. Hayo ameyasema leo Juni 16,…
Ndoto za hayati Magufuli zitimizwe kwa wakati
Na Daniel Limbe, JakmhuriMedia, Chato “SAFARI ya Maendeleo siyo lelemama” msemo huu ulitumiwa sana na aliyekuwa rais wa Tanzania,Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, kwa lengo la kuihamasisha jamii katika kuyapambania matamanio ya ndoto zao za maendeleo kwa manufaa ya sasa…
Rais Samia asisitiza watoto kupata malezi bora yenye maadili mema
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika akiwa pamoja na wajukuu, Ikulu jijini Dar es Salaam. Siku hii huadhimishwa Juni 16 ya kila mwaka. Katika kuadhimisha siku hii, Rais Samia amesisitiza…
Wizara yaitaka NIRC kusimamia maono ya Rais Dk Samia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Dkt. Hussein Mohamed Omar, amesema matarajio ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuona sekta ya kilimo inaleta mageuzi ya kiuchumi nchini. Amesema kutokana na hatua hiyo…