Category: Habari Mpya
Viongozi wa vijiji, mitaa na vitongoji ndio msingi wa maendeleo, tushiriki uchaguzi
Na Bwanku M Bwanku Nchi yetu kwa sasa inaendelea na michakato mbalimbali kuelekea kwenye tukio kubwa na muhimu la uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu, takribani wiki ikiwa imebaki. Tayari michakato mingi kuelekea tukio hili…
Tanzania yahimiza nchi zipate mikopo nafuu
Tanzania imetoa mwito kwa taasisi za fedha za kimataifa zitoe mikopo yenye riba nafuu ili nchi zinazokopa zikuze uchumi na kufikia malengo ya maendeleo endelevu. Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Amina Khamis Shaaban amesema katika kikao cha kwanza cha…
TANESCO kuanza kufanya maboresho ya Luku Pwani na Dar
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia,Dar es salaam Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kutakuwa na maboresho huduma zake katika mfumo wa Luku kwa wateja wake wa Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani kuanza Julai 22, 2024 ili kuendana na mabadiliko ya…
DC chunguza malalamiko ya wajawazito-Dkt Mpango
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Kanali Isaac Mwakisu kutumia vyombo vya ulinzi na usalama alivyonavyo kuchunguza malalamiko ya akina mama wajawazito kuombwa rushwa katika Kituo cha Afya Makere kilichopo Halmashauri ya Mji wa…
Rais Mwinyi azitaka taasisi za biashara kuondoa urasimu
RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amezitaka taasisi za biashara kuondoa urasimu ili kutengeneza biashara zaidi Kwa mustakabali wa kujenga uchumi wa nchi. Amesema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati akifunga Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa…
UNEP kuleta neema Tanzania
Tanzania imeahidiwa na Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) kuungwa mkono katika vipaumbele vya mazingira ikiwemo agenda ya nishati safi ya kupikia. Hayo yamejiri wakati wa mazungumzo kati ya Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais…