JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Gazeti Letu

Siri zavuja Jiji

Siri nzito za mradi wa ujenzi wa kituo kikubwa cha mabasi ya kwenda mikoani eneo la Mbezi Luis zimevuja, zikavuruga watendaji na Baraza la Madiwani wa Jiji la Dar es Salaam, JAMHURI linathibitisha. Baada ya wiki iliyopita gazeti hili kuandika…

Rushwa yavuruga Jiji

Rushwa imevuruga safu ya uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam katika mradi wa ujenzi wa stendi ya mabasi Mbezi Luis, na sasa viongozi wote wanashikana uchawi, JAMHURI limebaini. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umebaini kuwa kiwango cha kuaminiana…

Bomu la mafao

Kuna dalili za kukwama kwa kanuni mpya za ukokotoaji wa mafao ya wastaafu zilizotangazwa na serikali. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo imewatoa hofu wananchi kuhusu kanuni hizo ikisema inazisubiri zipelekwe bungeni hata kama zimekwisha kuanza kutumika. Kanuni…

‘Balozi’ Alphayo Kidata kufikishwa mahakamani

Kuna kila dalili kuwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada, Alphayo Kidata, atafikisha mahakamani Kisutu muda wowote kuanzia sasa kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka wakati akiwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), uchunguzi wa JAMHURI umebaini….

Benki ilivyomwibia mteja kwa usanii

Baada ya Gazeti la JAMHURI kuchapisha habari ya kwanza kwenye toleo Na. 371 ikionyesha jinsi Benki ya BOA inavyoibia wateja nchini kwa maofisa wake kughushi nyaraka za wateja na kujipatia mikopo, sasa yameibuka mambo ya kutisha, JAMHURI linaripoti. Wamejitokeza wateja…

Benki yaibia wateja

Maofisa wa Bank of Africa (BOA) jijini Dar es Salaam wanadaiwa kughushi hati ya ardhi Na. 55709, Kitalu ‘C’, Ukonga Stakishari ya Jimmy Mwalugelo (68), mkazi wa eneo hilo na kuitumia kumkopesha mtu mwingine Sh milioni 500. Hati hiyo iliyoghushiwa…