Category: Gazeti Letu
Bilionea Friedkin atandikwa bil. 80/
ARUSHA NA MWANDISHI WETU Kampuni za bilionea raia wa Marekani, Dan Friedkin, zinazotikiswa na ukwepaji kodi, rushwa na uhujumu uchumi, zimekiri kuwa zinachunguzwa. Hayo yakiendelea, imebainika kuwa kwa miaka 30 kampuni hizo hazijawahi kutangaza kupata faida; jambo linalotia shaka na…
Kipilimba katika mgogoro wa ardhi
Balozi Dk. Modestus Kipilimba yumo kwenye mgogoro wa ardhi na baadhi ya wakazi wa Msakuzi, Mbezi Luis, Dar es Salaam wanaodai amewapoka maeneo yao kwa kutumia nafasi aliyokuwa nayo. Miongoni mwa wanaolalamika ni Rudolf Temba, ambaye amesema amedhulumiwa ekari 2.5…
Bilionea Friedkin alipa
Kampuni za bilionea raia wa Marekani, Dan Friedkin, zilizonaswa kwenye kashfa ya ukwepaji kodi, zimeweka Sh bilioni 50 kwenye akaunti maalumu ya Serikali ya Tanzania. Habari za uhakika zinaonyesha kuwa pamoja na kulipa kiasi hicho, kuna fedha nyingine nyingi zilizoingizwa…
Kampuni za bilionea Friedkin zaminywa
Mbinu za ukwepaji kodi unavyofanywa na kampuni za bilionea Mmarekani, Friedkin, zinazidi kufichuka baada ya kubainika kuwa kwa miaka zaidi ya 30 serikali imekoseshwa mabilioni ya shilingi kupitia udanganyifu kwenye mishahara. Akaunti maalumu kwa mpango huo zimefunguliwa ughaibuni na kutumika…
Uzembe wa Serikali wapoteza bil. 1.3/-
Uzembe wa serikali kushindwa kutangaza kwenye gazeti lake makubaliano na kampuni ya kigeni kuhusu msamaha wa kodi uliotolewa kwa kampuni hiyo umezua mzozo wa kodi inayozidi Sh bilioni 1.3. Mzozo huo unatokana na hatua ya serikali kuipa taasisi hiyo msamaha…
Wanaswa uhujumu uchumi
Kikosi Kazi maalumu kilichoundwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kimebaini ukwepaji kodi unaokisiwa kufikia Sh bilioni 10 katika kampuni sita za bilionea Mmarekani, Friedkin, zinazojihusisha na sekta ya utalii nchini, JAMHURI linathibitisha. Kwa tuhuma hizo, wakurugenzi wa kampuni hiyo wanakabiliwa…