Category: Gazeti Letu
BoT yawaondoa hofu wananchi
DAR ES SALAAM Na Costantine Muganyizi Licha ya kuwapo changamoto hasa za kibiashara zinazotokana na athari za janga la virusi vya corona duniani, mwenendo wa uchumi wa taifa unaridhisha na kuleta matumaini ya kuzidi kuimarika kuanzia mwaka huu. Hiyo ni…
Malima aonya usafirishaji binadamu
TANGA Na Oscar Assenga Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Malima, amewatumia salamu mawakala wa wahamiaji haramu ambao wanautumia mkoa huo kuwapitisha na wale wanaopitisha dawa za kulevya, akionya wasijaribu kufanya hivyo, maana watakachokutana nacho kitakuwa historia kwao. Malima ameyasema…
TASAF yajipanga kuongeza umakini
KATAVI Na Walter Mguluchuma Mfuko wa Maendeleo na Hifadhi ya Jamii (TASAF) umeandaa mkakati makini katika kuwabaini wanufaika halali wa mfuko huo. Akizungumza wakati wa kikao kazi cha kuwajengea uelewa wawezeshaji na madiwani wa Halmashauri ya Mpimbwe, mkoani Katavi, Ofisa…
Oxfarm: Kilimo kitaondoa umaskini
DAR ES SALAAM Na Pawa Lufunga Shirika la Oxfarm Tanzania limewaasa wadau wa maendeleo nchini kuweka kipaumbele katika sekta ya kilimo ili kutokomeza umaskini. Akizungumza katika warsha ya wiki mbili iliyowakutanisha wadau wa kilimo nchini, Ofisa Ushawishi wa shirika hilo,…
Yah: Tusipozuia mapema itatugharimu siku zijazo
Nianze waraka wangu kwa kuwakumbusha kuwa sasa ni rasmi tunaelekea kuugawa mwaka, wenye malengo yao naamini wanafanya tathmini walipo na wale ambao walisherehekea mwaka kwa kuangalia tarehe, labda hawana chochote cha kufanyi tathmini zaidi ya kusubiri tarehe ya mwaka mpya….