JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Gazeti Letu

Simbachawene: La Uhamiaji mmepotoshwa

*Wakili Madeleka auliza maswali magumu DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amezungumza na Gazeti la JAMHURI na kusema suala la Uhamiaji kutoa visa feki gazeti limepotoshwa na mtoa habari. Waziri Simbachawene ameliambia JAMHURI…

Walioambukizwa COVID-19 Afrika wakaribia milioni 5

ADDIS ABABA, ETHIOPIA Imethibitishwa kuwa watu 4,867,727 walikuwa wameambukizwa virusi vinavyosababisha ugonjwa wa corona (COVID-19) barani Afrika hadi kufikia katikati ya wiki iliyopita. Taasisi ya kukabiliana na magonjwa barani Afrika iliyo chini ya Umoja wa Afrika (AU), Africa CDC, imesema…

Mbowe akiri uzembe 2020

TABORA Na Mwandishi Wetu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kushindwa kwao katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana hakukuchangiwa na aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli pekee, bali ni pamoja…

Nani ‘anaua’ vipaji Yanga?

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu  Ni matamanio ya kila shabiki wa soka kuiona klabu anayoishabikia ikipiga hatua na kufikia mafanikio, ikiwa ni pamoja na kuchukua mataji. Naam! Ni kama vile kuwafikisha wana wa Israel katika nchi ya ahadi na…

Viwavi wenye sumu kali waibuka Virginia

Wana manyoya mithili ya manyoya ya paka na kwa ukaribu wanaonekana ni wazuri sana kuwachezea. Lakini amini usiamini, viwavi hao aina ya puss ni viumbe wasiopaswa kukaribiwa na binadamu hasa nchini Marekani. Hii ni kwa sababu aina hiyo ya viwavi…

Mwenye nyumba yumo hatiani mpangaji anapojihusisha na biashara, dawa haramu

Na Bashir Yakub Wenye nyumba mnatakiwa kujihadhari sana. Hakikisha unapompangisha mtu unajua historia yake. Wakati mwingine ni vigumu lakini ndiyo iko hivyo. Unalazimika kufanya hivyo kutokana na madhara ambayo unaweza kupata kutokana na makosa ya mpangaji. Kifungu cha 20, Sheria ya…