JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Gazeti Letu

Tunatia aibu, tunapuuzwa

Wiki iliyopita alifariki dunia mmoja wa watu niliowapenda na kuwaheshimu mno. Utendaji kazi wake uliniaminisha kuwa pengine hakuna haja ya kuwa na mfumo huu wa sasa wa Serikali za Mitaa katika miji, manispaa na majiji.  Charles Keenja, alifanya kazi kubwa…

Maendeleo yetu na kasi ya teknolojia

Maendeleo ya mtu au watu (jamii ) yanahitaji masharti mawili – JUHUDI na MAARIFA, ambayo msingi wake mkubwa ni mtu (mwananchi) na uwezo wake. Katika utaratibu huu ili mwananchi aendelee atahitaji vitu vinne ambavyo ni Ardhi, Watu, Siasa safi na…

Yah: Hatujawahi kuwa siriasi kwa mambo ya msingi

Kama lingekuwa ni genge halafu lipo mahali fulani mbali huko tungesema kuna ‘chuma ulete’ katika vichwa vyetu, yaani leo tunalala na hili ambalo halijaisha na kesho tunaamka na jambo jipya ambalo limebuniwa kututoa katika reli ya mambo ya jana, sisi…

Agizo la Waziri TAMISEMI latekelezwa

GEITA Na Antony Sollo  Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe, mkoani Geita limetekeleza agizo lililotolewa na Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), David Silinde, kwa kuwaweka kando kupisha uchunguzi watumishi watatu wa…

Diwani alilia magofu ya Serikali

DAR ES SALAAM Na Alex Kazenga Pamoja na serikali kutilia mkazo ujenzi wa sekondari na vituo vya afya kila kata, Kata ya Minazi Mirefu iliyopo Ilala jijini Dar es Salaam hali ni tofauti. Kata hiyo iliyoanzishwa mwaka 2015 yenye wakazi…

Chongolo, Shaka wakemea uzembe

SUMBAWANGA Na Mwandishi Wetu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, ameacha maagizo mazito kwa uongozi wa Mkoa wa Rukwa baada ya kumaliza ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani hapa. Miongoni mwa maagizo hayo ni kumtaka Mkuu…