JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Gazeti Letu

Waganga wanaoomba viungo vya albino kusakwa

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Tabora Katika kuhakikisha mauaji ya watu wenye ualbino, watoto wachanga na vikongwe yanakomeshwa, Chama cha Waganga wa Tiba Asilia Mkoani hapa kimeazimia kuwasaka wenzao wanaopiga ramli chonganishi na kuomba kupelekewa viungo vya binadamu ili wawatengenezee dawa. Ili…

Siri ya kukimbiwa baada ya kung’atuka

Tumemsikia aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, akilalamika kuwa baada ya kung’atuka marafiki hawaonekani! Baada ya kustaafu ndiyo ametambua kuwa kumbe baadhi ya marafiki walikuwa ni marafiki wa nafasi aliyokuwa nayo, na kamwe hawakuwa…

Chama ni Okwi mwingine katika soka letu

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Mwanasoka maaarufu nchini raia wa Zambia, Cletous Chama, ameondoka nchini miezi mitatu tu iliyopita lakini taarifa zake za kurejea nchini zinavuma kwa wingi kuliko hata kile anachokifanya akiwa uwanjani huko aliko sasa. Hali hii…

Benki yazidisha uonevu kwa wafanyakazi

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Baada ya gazeti hili la uchunguzi kuchapisha taarifa za benki moja nchini zinazoeleza kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa benki hiyo ana dharau, ananyanyasa na kufukuza wafanyakazi hovyo bila kuheshimu sheria za kazi wiki mbili…

Iwe shuruti kuufanya ukimwi kuwa historia

Kesho ni Desemba Mosi, siku ambayo imetengwa na kufahamika kimataifa kama ‘Siku ya Ukimwi Duniani’ ambapo kwa Tanzania maadhimisho hayo huratibiwa na Tume ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS). TACAIDS ilianzishwa Desemba 1, 2000 na Rais wa Tatu wa Tanzania, Benjamin Mkapa,…