Category: Sitanii
Mbowe, chanjo na hujuma CCM
Na Deodatus Balile Mpendwa msomaji salamu. Sitanii, tangu nimepata pigo la kuondokewa na Mkurugenzi mwenzetu, Mkinga Mkinga, Juni 24, 2021, sijaandika katika safu hii. Itanichukua muda kuamini kuwa kweli Mkinga amefariki dunia, ila nalazimika kuukubali ukweli kwamba sisi tu waja…
Kodi ya simu za mkononi haiepukiki
Na Deodatus Balile Alhamisi, Aprili 10, 2021 Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, aliwasilisha Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2022. Kwanza kabla sijaijadili bajeti hii, naomba nimshukuru Mheshimiwa Spika wa Bunge, Job Ndugai, kwa kulialika Jukwaa la Wahariri…
Ya Sabaya, tuandike majina yetu vizuri
Na Deodatus Balile Kwanza, naomba kabla sijaingia katika undani wa mada nichukue fursa hii adhimu kuwashukuru wahariri wanachama wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) kwa kunichagua kuwa Mwenyekiti wa TEF kwa kishindo. Sitanii, ushindi wa asilimia 72 walionipa wahariri hawa…
Rais Samia choma kichaka nyoka wakimbie
Na Deodatus Balile Wiki mbili zilizopita niliandika makala nikipongeza hatua anazozichukua Rais Samia Suluhu Hassan. Nimeeleza kukubaliana naye katika dhana ya kuchimba madini au mafuta hata kama yapo kwa maana kwamba hizi rasilimali zipo kwa ajili ya kusaidia kulikomboa taifa…
Tuwalipe Polisi, Magereza nauli zao
Wiki tatu zimepita sasa tangu tuchapishe habari ya askari wastaafu wa Jeshi la Polisi kudai mafao yao na kugomea kambini. Nimefarijika baada ya habari hii Rais John Magufuli amemwagiza Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, afuatilie mafao ya askari…
Karibu 2020, tumejiandaaje?
Toleo la leo ni la kwanza kwa mwaka 2020. Mwaka 2000 tukiwa Buruguni eneo la Sewa, nilikuwa na marafiki zangu kadhaa. Baadhi Mungu amewapenda zaidi, ila wengi bado tupo. Zilivuma taarifa kuwa mwaka 2000 ulikuwa mwisho wa dunia. Wakati huo…