JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Sitanii

MIAKA 60 YA UHURU Tubadili fikra, tusichukie biashara

Na Deodatus Balile, Nzega Wiki iliyopita nilipata fursa ya kumsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan wakati anafunga kongamano la wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda lililofanyika Dar es Salaam.  Rais Samia ameeleza umuhimu wa serikali kufanya kazi na wafanyabiashara kwa kushirikiana. Rais…

Deni la taifa, mgawo wa maji, umeme

Na Deodatus Balile, Bukoba Mwezi mmoja uliopita niliandika makala iliyoamsha hisia katika viunga vingi vya nchi hii. Nilizungumzia ukuaji wa deni la taifa.  Nilitumia takwimu za Benki Kuu kukokotoa ukuaji wa deni na kuonyesha kuwa limefikia Sh trilioni 78 sasa. …

Uzembe wetu tusimsingizie Mungu

Kila mara tukiwa na mijadala ya maana, katikati hujitokeza upepo wa kutuyumbisha. Tukiwa bado kwenye mjadala wa athari za mabadiliko ya tabia nchi zilizosababisha upungufu wa maji jijini Dar es Salaam, kumeibuka mjadala mwingine wa ‘nani ni nani?’ Sikuona sababu…

Magufuli katutenda deni la taifa, trilioni 78 Samia msalabani

Na Deodatus Balile Kazi hii ya uandishi wa habari moja ya majukumu yake ni kuanika ukweli minong’ono inapotawala katika jamii.  Kwa sasa kuna minong’ono mingi. Minong’ono imeanza baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza hadharani mkopo wa Sh trilioni 1.3,…

Wateule wamemsusia Rais Samia mapambano ya corona

Na Deodatus Balile Tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, aitangazie dunia kwamba kwa sasa Tanzania imeamua kupambana na janga la corona, inavyoonekana kampeni hiyo inafanywa na Rais peke yake huku baadhi ya wateule wake wakiigiza. Hii…

Tusherehekee haki ya kupata taarifa kwa vitendo

Na Deodatus Balile Leo ni siku ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Haki ya Kupata Taarifa au wengine wanasema ni ‘Siku ya Haki ya Kujua’ kama inavyojulikana kwa wadau wengi duniani.  Siku hii ilitambuliwa rasmi na Umoja wa Mataifa…