JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Sitanii

Rais Samia, TANROADS okoa watu Dar – Morogoro

Na Deodatus Balile Wiki iliyopita nimesoma habari ya kuanza kwa mchakato wa ujenzi wa njia nne katika Barabara ya Morogoro. Ujenzi huu unaelezwa kuwa utaanzia Kibaha Maili Moja hadi Morogoro kwa urefu wa kilomita 158. Taarifa hizi zimetolewa na Mkuu…

Uspika tusipime maji kwa miguu miwili

Na Deodatus Balile, Dar es Salaam Mwezi huu aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai, amejiuzulu. Ndugai ambaye ni Mbunge wa Kongwa, amejiuzulu kutokana na maneno makali aliyoyatoa Desemba 28, 2021 akiishambulia serikali kwa kuchukua mikopo kutoka nje ya nchi. Kilicholeta…

Ndugai, Kabudi ni somo jipya Tanzania

Na Deodatus Balile Leo napata tabu kuandika makala hii. Tabu ninayoipata, kumetokea mtikisiko wa ghafla ndani ya saa 72, sura ya siasa za nchi ya Tanzania zimebadilika mno. Ninaye rafiki yangu nimekumbuka maneno yake. Alipata kuniambia: “Usichezee njiti ya kiberiti,…

CCM, mchezo wenu ni mauti yenu

Na Deodatus Balile, Ruangwa Ndugu msomaji wangu, heri ya mwaka mpya 2022. Naamini umefika salama katika mwaka huu baada ya changamoto kubwa tulizopitia mwaka 2021.  Wengi walitamani kufika mwaka huu wa 2022, lakini Mungu hakuwapa nafasi hiyo. Mimi ni muumini…

Tusiusahau 2021, tujiandae 2022

Na Deodatus Balile Mwaka 2021 unaomalizika umekuwa na matukio makubwa yasiyosahaulika katika historia ya taifa la Tanzania, jumuiya mbalimbali na familia kwa ujumla.  Sitatenda haki nisipowataja watu wanne ambao wamefariki dunia bila kutarajiwa. Katika ngazi ya kitaifa, ni Rais John…

MIAKA 60 YA UHURU Uwekezaji, uwezeshaji muarobaini wa umaskini

Na Deodatus Balile, Naivasha, Kenya Wiki iliyopita niliandika makala nikieleza na kusifia uamuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwatambua wafanyabiashara kama sehemu muhimu ya jamii ya Tanzania.  Nimepata mrejesho mkubwa sana. Asanteni wasomaji wangu. Hata hivyo, kati ya mrejesho huo…