Category: Sitanii
Rais Samia hongera, maliza la Mbowe tugange yajayo
Na Deodatus Balile, Zanzibar Leo naandika makala hii nikiwa hapa eneo la Mlandege, Zanzibar. Nimemaliza mjadala wa kuelekea mwaka mmoja wa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Mjadala huu ulihusu “Maendeleo katika Sekta ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.”…
Asante Rais Samia, Waziri Nape
Na Deodatus Balile, Zanzibar Wiki iliyopita imekuwa wiki ya furaha kwa tasnia ya habari. Ni wiki ya furaha baada ya Alhamisi iliyopita Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, kutangaza kuyafungulia na kuyapa leseni magazeti manne; Mwanahalisi,…
Rais Samia, TANROADS okoa watu Dar – Morogoro
Na Deodatus Balile Wiki iliyopita nimesoma habari ya kuanza kwa mchakato wa ujenzi wa njia nne katika Barabara ya Morogoro. Ujenzi huu unaelezwa kuwa utaanzia Kibaha Maili Moja hadi Morogoro kwa urefu wa kilomita 158. Taarifa hizi zimetolewa na Mkuu…
Uspika tusipime maji kwa miguu miwili
Na Deodatus Balile, Dar es Salaam Mwezi huu aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai, amejiuzulu. Ndugai ambaye ni Mbunge wa Kongwa, amejiuzulu kutokana na maneno makali aliyoyatoa Desemba 28, 2021 akiishambulia serikali kwa kuchukua mikopo kutoka nje ya nchi. Kilicholeta…
Ndugai, Kabudi ni somo jipya Tanzania
Na Deodatus Balile Leo napata tabu kuandika makala hii. Tabu ninayoipata, kumetokea mtikisiko wa ghafla ndani ya saa 72, sura ya siasa za nchi ya Tanzania zimebadilika mno. Ninaye rafiki yangu nimekumbuka maneno yake. Alipata kuniambia: “Usichezee njiti ya kiberiti,…
CCM, mchezo wenu ni mauti yenu
Na Deodatus Balile, Ruangwa Ndugu msomaji wangu, heri ya mwaka mpya 2022. Naamini umefika salama katika mwaka huu baada ya changamoto kubwa tulizopitia mwaka 2021. Wengi walitamani kufika mwaka huu wa 2022, lakini Mungu hakuwapa nafasi hiyo. Mimi ni muumini…