JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Sitanii

Tukicheza hakuna uchaguzi Oktoba

“Mheshimiwa Rais, Kenya imewachukua miaka saba kuandika Katiba yao, baada ya mvutano wa miaka 20. Je, sisi Tanzania unadhani tunaweza kuandika Katiba yetu ndani ya miaka miwili?” Hili ni swali nililomuuliza Rais Jakaya Kikwete tukiwa Ikulu, siku ya Ijumaa, Aprili…

Kardinali Pengo, Askofu Gwajima wasamehe wenye dhambi muuone ufalme wa mbingu

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova, wiki iliyopita alitoa tangazo la kumtaka Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, kuripoti katika Kituo Kikuu cha Polisi,  Dar es Salaam kutoa maelezo kuhusu tuhuma…

Chadema la Zitto sawa, hamtambui Mahakama?

Wiki iliyopita ilikuwa ni historia nyingine katika siasa za Tanzania. Tulishuhudia Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe akiachia ngazi baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kumfukuza uanachama. Zitto amefukuzwa uanachama ukiwa mwendelezo wa harakazi na misigishano ya…

‘Nchi yetu haina dini’

Nchi yetu haina dini. Haya ni maneno maarufu katika masikio ya Watanzania. Mwasisi wa Taifa la Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere enzi za uhai wake maneno haya aliyasema mara kwa mara. Katika moja ya hotuba zake, alisema: “Siku moja nikiwa…

CCM inaanguka polepole kama dola ya Warumi

Mwaka 476 kabla ya Kristu kuna historia ya pekee katika dunia ya sasa. Mwaka huu, dunia ilishuhudia kuanguka kwa Dola Kuu ya Warumi (Rome Empire) iliyokuwa imetawala siasa za Ulaya kwa millennia moja, yaani miaka 1,000. Dola hii ilikuwa ikiongozwa…