Category: Sitanii
Waziri Dk. Mwigulu epuka kodi za kero
Na Deodatus Balile, Dodoma Wiki iliyopita nilikuwa katika Ukumbi wa Bunge. Nilimsikiliza kwa umakini mkubwa Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, wakati anawasilisha bajeti ya wizara yake. Dk. Mwigulu alieleza kuhusu maeneo mengi hasa kilimo kwa ufasaha mkubwa…
Rais Samia LNG ni dili, tusaini
Na Deodatus Balile Wiki iliyopita zimekuwapo taarifa za Tanzania kuwa katika mchakato wa kusaini mkataba wa kuanza ujenzi wa kiwanda cha kuzalisha gesi ya LNG mkoani Lindi. Mkataba wenyewe ni wa dola bilioni 40, karibu Sh trilioni 70 za Tanzania. …
Brela ikabidhiwe kazi ya kutoa leseni zote
Na Deodatus Balile, Morogoro Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) umetoa taarifa muhimu kwa maendeleo ya biashara nchini katika mkutano na Jukwaa la Wahariri Tanzania. Mtendaji Mkuu wa Brela, Godfrey Nyaisa, ameeleza mfumo wa kusajili biashara kupitia mtandaoni…
Rais Samia analiunganisha tena taifa
Na Deodatus Balile Leo naomba nianze makala yangu kwa kumnukuu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, katika kauli aliyoitoa baada ya tukio la Septemba 7, 2017 alipopigwa risasi 16, na baadaye akawa kwenye matibabu nje…
Asante Rais Samia kushiriki Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari
Na Deodatus Balile, Arusha Wiki hii nimerejea katika ukumbi huu. Msomaji wangu niwie radhi sikuweza kuandika katika wiki mbili zilizopita, kwani nilikuwa na maandalizi mazito ya mkutano mzito ulioileta Afrika Tanzania. Huu si mwingine, bali ni mkutano wa Siku ya…
Rais Samia wekeza katika gesi
Na Deodatus Balile Wiki iliyopita nilihitimisha makala yangu kwa aya hizi: “Sitanii, ukurasa umekuwa finyu. Hili la miundombinu nitalidadavua zaidi wiki ijayo. Tunatumia wastani wa Sh trilioni 7 kuagiza mafuta kutoka nje ya nchi kwa mwaka. Tunaweza kuachana na utumwa…