Category: Sitanii
Tume ya maridhiano muhimu Zanzibar
Leo ni Jumanne. Ni February 23, 2016. Zimebakia wiki 4 na siku 4 Zanzibar kufanya uchaguzi wa marudio. Wiki iliyopita niliandika kueleza jinsi nilivyomwelewa Rais John Mafuguli baada ya ufafanuzi wake wa kisheria juu ya msimamo wake wa kutoingilia Tume…
Magufuli katoa suluhisho Zanzibar
Kabla ya Jumamosi iliyopita, hata mimi nilikuwa mtumwa wa mawazo. Nilikubaliana na waliosema Rais John Pombe Magufuli anapaswa kuingilia uchaguzi wa Zanzibar kunusuru hali. Akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Rais Magufuli alisema wazi…
Magufuli anaheshimu waandishi, nchi itanyooka
Wiki iliyopita sikuandika kwenye safu hii. Sikupata wasaa huo kutokana na ukweli kwamba nilikuwa kwenye harakati za uchaguzi. Naomba kuwashukuru wahariri wenzangu walionichagua kwa kishindo kuwa Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF). Pamoja nami, walichaguliwa Mwenyekiti, Theophil Makunga,…
Hatutarajii mipasho, vijembe bungeni
Wiki hii linaanza Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Bunge hili linaanza na changamoto nyingi. Linaanza na changamoto ambayo vyama vya upinzani ukiacha ACT-Wazalendo havijichanganui iwapo havitambui ushindi wa Rais John Magufuli au vinautambua. Wakati anahutubia Bunge…
Safari ya kuelekea demokrasia ngumu
Wiki hii nianze kwa kukuomba radhi msomaji wangu kwa kutokuwapo kwenye Safu hii wiki iliyopita. Nilipata dharura, ila namshukuru Mungu kuwa imekwisha salama na maisha yanaendelea. Leo nimejaribu kuandika somo pana kidogo linalohusu demokrasia katika nchi yetu. Naandika somo hili,…
Serikali ya maprofesa, madaktari, mainjini… hatutarajii porojo
Katika pitapita yangu kwenye mitandao ya kijamii, nimekutana na uchambuzi ulionigusa kidogo. Nimebaini kuwa Baraza la Mawaziri linaongozwa na Rais Dk. John Pombe Joseph Magufuli (PhD – Chem&Maths), limejaa wasomi. Wasaidizi wake wakuu ni Makamu wa Rais: Samia Suluhu (Msc…