Category: Sitanii
Nani anamtuma Dk. Tulia?
Katika siku za karibuni imekuwapo mitafaruku kadhaa bungeni. Tumesikia habari za Spika wa Bunge, Job Ndugai, kuwa na mikwaruzano na Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson. Nakumbuka Dk. Tulia alivyokuwa mbunge wa kwanza kuteuliwa katika vile viti 10 vya…
Rais Magufuli kaza kamba reli
Sitanii, wiki hii kama kuna jambo limeniburudisha basi ni taarifa hii ya Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Gerson Msigwa, aliyoitoa Dar es salaam tarehe 25 Aprili, 2016. Na kabla sijafafanua nilichokifurahia, naomba kwa ruhusa yako niinukuu neno kwa neno kama…
Tufunge mlango wa misaada – 2
Wiki iliyopita sikuandika katika safu hii. Kwenye tanbihi, nilieleza kuwa ilikuwa nashughulikia habari nzito inayoendelea kuchapishwa na gazeti hili kuhusu Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kutolipa kodi sahihi. Wiki moja kabla ya wiki iliyopita, ilikuwa nimezungumzia suala la nchi hii…
Tufungie mlango misaadaa ya wahisani
Zimepita wiki tano bila mimi kuandika safu hii ya SITANII. Nilikuwa na jukumu zito la kuuhabarisha umma juu ya mbinu za aina yake zinazotumiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL Group) kuepuka kodi. Katika habari hizo nimefanya uchunguzi wa kina…
Tume ya maridhiano muhimu Zanzibar
Leo ni Jumanne. Ni February 23, 2016. Zimebakia wiki 4 na siku 4 Zanzibar kufanya uchaguzi wa marudio. Wiki iliyopita niliandika kueleza jinsi nilivyomwelewa Rais John Mafuguli baada ya ufafanuzi wake wa kisheria juu ya msimamo wake wa kutoingilia Tume…
Magufuli katoa suluhisho Zanzibar
Kabla ya Jumamosi iliyopita, hata mimi nilikuwa mtumwa wa mawazo. Nilikubaliana na waliosema Rais John Pombe Magufuli anapaswa kuingilia uchaguzi wa Zanzibar kunusuru hali. Akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Rais Magufuli alisema wazi…