Category: Sitanii
Samahani Mheshimiwa Rais Magufuli
Naandika makala hii dakika chache baada ya kufika jijini Accra, Ghana. Nimetoka Dar es Salaam jana na juzi nilisikia maneno aliyozungumza Mheshimiwa Rais John Pombe Mafuguli, alipopata fursa ya kutembelea Pemba kushukuru wapigakura. Nikiri kwanza kwamba Rais wetu anafanya jambo…
Asante Lukuvi, umeokoa wanyonge Bukoba
Mpendwa msomaji, niwie radhi wiki hii nalazimika kuandika SITANII ndefu kidogo, na SITANII ya leo itakuwa na vionjo tofauti na zilizotangulia. Nitangaze maslahi pia, kuwa katika hili ninayo maslahi nitakayoyaeleza punde, lakini nitangulie kusema nampongeza na kumshukuru Waziri wa Ardhi,…
Rais Magufuli anamjenga Lissu
Wiki iliyopita vyombo vya habari vimetangaza habari nyingi za kukamatwa, kusafirishwa, kushikiliwa polisi, kufunguliwa kesi mahakamani, kesi kuendelea hadi saa 3:00 usiku na kisha Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu kujidhamini. Binafsi sina nia ya kurejea matamshi ya Lissu,…
Mauaji, hukumu ya Mwangosi
Naandika makala hii muda mfupi baada ya kutoka Mahakama Kuu Kanda ya Iringa. Nimekuja hapa Iringa kusikiliza hukumu dhidi ya muuaji wa Mwandishi wa Habari, Daudi Mwangosi, aliyeuawa na askari Pacificus Cleophace Simon Septemba 2, 2012 akiwa kazini katika Kijiji…
Rais Magufuli umemsikia Kikwete!
Wiki iliyopita Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemchagua Rais John Pombe Magufuli kuwa Mwenyekiti wake. Uchaguzi huu umehitimisha minong’ono iliyokuwapo kitambo kuwa Mwenyekiti aliyemaliza muda wake, Rais (mstaafu) Jakaya Kikwete alikuwa na nia ya kung’angania madarakani. Rais Magufuli amepigiwa debe kuomba…
Kila la kheri Rais Magufuli
Wiki hii, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ukiacha ujumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa, ambao aliupata kwa kuwa Mbunge wa Biharamulo Mashariki kabla ya…