JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Sitanii

Majaliwa asante la Makonda

Wiki iliyopita kwa mshangao mkubwa nimesoma maelezo ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul  Makonda. Makonda amesema mbele ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuwa lipo kundi la watu 10 lilitaka kumhonga Sh 5,000,000 kila mmoja kwa maana ya…

Sheria imepita, upotoshaji umetawala

Wiki iliyopita hatimaye Serikali imehitimisha safari ya miaka 23 ya mchakato wa kutunga Sheria ya Huduma za Habari (MSB). Sheria hii inajihuisha zaidi na utendaji wa vyombo vya habari na wanahabari. Mchakato huu ulianza rasmi mwaka 1993 na umehitimishwa mwaka…

Maswali ni mengi Bukoba

Nakaribia wiki mbili sasa nikiwa hapa Bukoba. Naendelea na ukarabati wa nyumba ya mama yangu iliyosambaratishwa na tetemeko. Hata hivyo, pamoja na kuwa katika ujenzi huu, haimaanishi kuwa kazi yangu nimeiweka kando. Naendelea kuzungumza na wananchi, nafuatilia kinachoendelea na jinsi…

Rais Magufuli Bukoba wanakutania

Nikiwa jijini Accra, Ghana katika toleo Na. 260 la Gazeti la JAMHURI, niliandika makala yenye kichwa hiki: “Poleni Bukoba, tuchunge wapigaji!” Hili ni toleo lililochapishwa Jumanne ya Septemba 20, 2016. Nilianza kupata wasiwasi kuwa huenda wakajitokeza watu wa kutumia janga…

Poleni Bukoba, tuchunge wapigaji!

Leo imepita karibu wiki moja tangu lilipotokea tetemeko la ardhi mkoani Kagera, hasa Wilaya ya Bukoba. Tetemeko hili limeacha majonzi makubwa.  Taarifa nilizosoma kwenye mtandao zinaonesha kuwa watu wapatao 17 wamepoteza maisha, zaidi ya 200 wamejeruhiwa na nyumba zaidi ya…

Afrika inamheshimu Rais Magufuli

Leo naitafuta wiki ya pili tangu nifike hapa Accra, Ghana. Naendelea na mafunzo juu ya mafuta, gesi na madini. Mafunzo haya yanalenga kuwapa utaalam watu mbalimbali; waandishi, makarani wa bunge, maafisa wa serikali, vyama vya kijamii, viongozi wa jadi na…